May 03, 2012

Dodoma Nyerere Squire Compound

Picha hii inaonyesha sura ya Hayati Mwl J.K.Nyerere Raisi wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania


Mwanafamilia akiwa amesimama mbele ya eneo la Kumb kumbu maalufu kama Nyerere Squire
Miongoni mwa masuala ambayo nilishindwa kuelewa ni kuwa Mkoa wa Dododma wameshindwa kurudishia maandishi ambayo yemefutika katika bando hapo chini kwenye weusi"

No comments: