September 27, 2011

Mafunzo ya waelimishaji rika yafanyika Tumaini University Iringa na VETA

Maonesho ya michezo ya kuigiza

Mwanafamilia George akiwa anaendesha kipindi cha bangua bongo na wanasemina

Picha ya pamoja kwa wanachuo wa VETA na Tumaini Iringa

Dada Wahida wa Tumaini Iringa akiendesha somo

Kaka Mayala akiwa anafafanua jambo
Hongereni wote mlioshiriki katika mafunzo hayo
Jumla ya wanchuo 51 walipata mafunzo kutoka VETA Iringa na Tumaini Iringa, Mafunzo yaliandaliwa na Wizara ya Elimu na mafunzo ya UFUNDI kwa ufadhiri wa UNESCO. UMATI walitoa wakufunzi Mahili Brother Stephen Chimile na Mwanafamilia George M. John
Big up

No comments: