September 27, 2011

Mafunzo ya elimu rika Mwanza

picha ya pamoja kwa waelimisha rika wa Mwanza Chuo kikuuu cha St Augustin na VETA Mwanza

Kazi za kuandaa mpango kazi wa Wanachuo cha VETA

Brother Mshana akifafanua jambo wakati wa mafunzo

Dada yetu Milika alikuwepo minogoni mwa wawezeshaji kutoka UMATI Mwanza

Kazi za kikundi kwa wanachuo wa SAUT Mwanza


2 comments:

Unknown said...

ni vizuri sana kwa wanafamilia kuhakikisha tunawandaa vijana katika misingi imara... nimeikubali Idea ya kuandaa waerimishaji rika vyuoni walisahaulika kwa muda mrefu hii ni nzuri narudia tena

Unknown said...

nimeikubali kwa kiasi kikubwa Idea ya kutoa mafunzo ya uelimishaji rika kwa vijana wa chuo ni muhimu sana kwa wanafamilia.. kwani Familia itakuwa kubwa zaidi kama tutaweza kuwawezesha vijana katika misingi ya kupeana habari sahihi nimeikubali hii