Kumeibuka wizi wa magari DSM pengine hata mikoa mingine ila hii inaonyesha vitendo hivi vimeshamili sana katika maeneo ya starehe, burudani na Casino, kisa cha karibuni ni pale Mlimani City ambapo mwanafamila fulani aliibiwa gari lake baada ya kuingia Mliman City kujipatia mahitaji, anasema ilimchukua dakika 45 tu kuingia na kupata mahitaji yake kisha alipotoka ndani anakwenda alipoengesha gari, hamadi, gari halioni, Gari aina ya PRADO, alipofika kwa asikari mlango wa kuingia na kutoka gari aliambiwa gari hiyo ilipita takribani dak 35 zilizopita, ndipo alipokwenda kituo cha polisi cha Mwenge kutoa taarifa upelelezi unaendelea.........
Hebu angalia picha hii jinsi wanavyoiba kwa sasa.......
Kamela ya mwafamilia
No comments:
Post a Comment