Picha ya pamoja baada ya kupatiwa sakramenti takatifu ya Kipaimara
Mwanafamilia aliyemsimamia kijana Joseph
Hii picha ilipigwa ndani ya kanisa kushoto mama mlezi Mama Kadala, Baba Mzazi Baba Joseph na vijana wake Joseph, Josephina na mdogo Jonson, na Mwanafamilia Muta
Wakiwa katika pozi mwanana
Kula, kunywa na kuselebuka kuliendelea nyumbani..........
No comments:
Post a Comment