May 13, 2010

YOVODEA Yazindua Mradi wa Ukimwi na Mazingira

Shirika lisilo la Kiserikali linanolo julikana Youth Volunteer Development Association lilipo mkoa wa Pwani Wilaya ya Kibaha, limezindua mradi wa kuelimisha jamii kuhusiana na Mazingira na UKIMWI.

Habari katika picha
Mgeni Rasmi Akiingia Ukumbini, Afisa Tarafa wa Wilaya ya Kibaha

Afisa mtendaji wa YOVODEA bwana Philemon Mabuga Akimkabidhi mgeni rasmi Taarifa fupi ya Shirika

Zoezi la Uzinduzi wa mradi wa Uhusiano wa UKIMWI na Mazingira iliyofanyika katika ukumbi wa Country Side Kibaha town

Afisa vijana wa Wilaya ya Kibaha akitoa neno la shukrani kwa washiriki wa hafla ya uzinduzi
Picha ya pamoja kwa wadau wa mradi wa UKIMWI na Mazingira

No comments: