July 17, 2010

Pweza wa Bongo hawawezi tabiria taifa staz kwenda Brazil 2014?

Pweza anapozua baraha mechi ya Spain na Uholanzi na Uholanzi kuchezea kichapo cha moja bila, Je pweza wa Bongo hawana uwezo wa kutabiri? 
Huenda pweza wa bongo wakianza kutabiri basi tujue wakina saaaaa ngoma watakosa soko
maana ikifika ze big mechi Simba vs Yanga wanakula pesa kama kawa...
Je pweza wa bongo wajaribu kutabiri maandalizi ya Taifa staz kwenda Brazil 2014 kabla mapesa hayajaisha maana.....

No comments: