July 17, 2010

Mafunzo ya Afya ya Uzazi na ujinsia yasaidia vijana Zanzibar kujiepusha na tabia hatarishi

Taasisi ya UMATI zanzibar imetoa mafunzo ya afya ya uzazi na ujinsia kwa vijana 250 vijana hao hujiunga baada ya kutoka skuli, mafunzo hayo huwasaidia vijana kujitambua na kukabiliana na changamoto za makuzi yao tangu wakiwa katika umri mdogo, aidha vijana wanasema kuwa tangu wamenzishiwa programu hii wamesaidiwa kufahamu masuala mbali mbali ya mbinu za maisha kupambana na mafataki, kujiepusha mimba wakiwa wadogo kwa kuwa wanelewa madhara yake.

Mkufunzi wa vijana bi Husna akiwa mzigoni
Blog ya FAMILIA inawapa heko kwa ubunifu na kuwshauri kuwafikia vijana wengi zaidi hasa walipo pembezoni mwa huduma...

No comments: