April 05, 2013

JENGA NYUMBA YA KISASA kwa Gharama nafuu

Katika maisha kila mtu angependa kujenga nyumba nzuri ya kuishi, pengine inaweza kuwa ndoto je unajua kuwa unaweza kuanza kujenga nyumba kwa gharama nafuu na kila kitu kikawa kama ulinavyopenda suluhisho lipo......

Nyumba hii inajengwa Pungu kichangani ikikamilika picha zitaletwa katika glob hii
By Mutasingwa

No comments: