February 11, 2011

Siku ya Mt Valentino/Valentine DAY

Hayaa yale mambo yetu yale ya mt Valentine ama valentine day, nasi wanafamilia kwa kuwa tunakwenda kwa matukio basi hatuko pembeni saaaana na haya majambozi,

 To my valentine
wanafamilia wooote ila muwe na maadalizi mema ya velentine sio kuchakachuana mpaka basi, tafakari tendo la upendo na mfanye kazi kwa majivuni,

No comments: