Asalaam Allekhum wanafamilia
Kwa kipindi kirefu tumekuwa kimya sana ila kwa sasa tuendeleze libeneke!!! Sasa uchaguzi umeisha na kinachofuata ni kuchapa kazi walioshinda wameshinda na walioshindwa mmhhuu
Uchaguzi umeibua misemo mingi
1. Uchakachuaji wa Kura hivi mie sukuamini kama neno hili lingeweza kutumika kwa kila mwanaharakati na hata viongozi waliokuwa wanashindania kiti kimoja cha URAISI
2. Ufisadi msiwachagua mafisadi maana wanatumia vijisenti vyao kuwalubuni....!!1
3.Mimba eti wapiga kura mnaambiwa nyie mnamimba yangu mtajifungua tarehe 31. Octoba 2010!!!!
No comments:
Post a Comment