Je Ghana wataendelea kuwafurahisha waafrika? Brazil watapiga samba la kutosha kwa Uholanzi? haya na mengine ndiyo maswali yanasubiri majibu kuanzia leo 2.Julai 2010
Mungu ibariki Ghana,
Mungu Ibariki Afrika
Mungu wabariki waandaaji na washangiliaji
AMINA
No comments:
Post a Comment