July 02, 2010

Mafunzo kwa njia ya vikaragosi yanasaidia vijana kubadilika

Shirika la YOVODEA liliendesha mafunzo ya vikaragosi kwa vijana wapatao 15 kwa lengo la kutumia sanaa hii kwa ajili ya kuelimisha jamii juu ya uhusiano wa UKIMWI na MAZINGIRA mafuzo haya yalifanyika Kibaha Maili mmoja na kusimamiwa na mkufunzi Kassim Abdallah ambaye ni kijana aliyebobea katika tasnia ya sanaa shirikishi.


Mwezeshaji Kassim Akiwa mzigoni
Vikaragosi vikiwa tayari kwa kazi ya kuhamasiaha jamii
Vijana waelimishaji wakiwa wanafurahia kumaliza mafunzo
Kijana akiwa anapata msosi baada ya kazi ngumu
Picha kwa hisani ya familia photolab

No comments: