Nabii huyu anadai kuwa Yesu aliruhusu pombe kwa kuwa inatibu magonjwa yote!!! Je yakweli hayo?
Baadhi ya maandishi yanayoshuhudia hayo.....
Nabii Titto akiwa anakata urabu baada ya kusoma mistari michache ya biblia huku akiwa na biblia
Jaman kama huamini huyu jamaa anajiita nabii "Titto" yupo
Juu yako kumfuata ama kumuacha ama kumpotezea....
Hebu angalia baadhi ya maombi yake kwa wanywaji na walevi wa pombe..
Duu huyu nabii kiboko
1 comment:
Hii kali
Post a Comment