July 29, 2010

Kaka Annord aamua kuanza mkakati wa kukwepa UKAPERA

Siku ya kukumbukwa kwa wapendwa hawa 24th July 2010
wanavalishana pete ya uchumba, tukio hilo lilifanyika Landmark
Anord na Adelina


Dada waonesha wasije kusalandia bureeeee


Nyegera kaisiki ......Mama tulia mie wako daima


No comments: