Wanafamilia na wapenzi wa blog ya FAMILIA napenda kuwashirikisha neno kuwa tukimwamini bwana na atatuimarisha na kutufanya kuwa chombo chake cha kupeleka taarifa ama habari njema ulimwenguni kote.
Kwanza namshukuru Mungu kwa kuwa tunaendelea vema, Nawashukuru sana kwa kubali kuniunga mkono tangu nilipoanzisha blog hii na sasa najivunia kuona wengi wanfuatilia sana na nawaomba tuzidishe ushirikiano, aidha nawaoba muitumie blog hii kwa kupasha habari nawe ukipata habari yoyote tuwasiliane kwa emaili hizi georgejohn1978@yahoo.com, mutasingwa.george@gmail.com nami nitazituma na kusomwa na wapenzi wasomaji
Bwana awabariki sana
Amina
No comments:
Post a Comment