July 17, 2010

HAMASA KWA VIJANA KUPITIA MPIRA WA MIGUU

Libenekene la Mpira wa miguu lilizuhusisha timu za vijana Kibaha Maili mmoja
Shirika la Vijana wa kujitolea YOVODEA limeendesha mashindano ya mpira kwa lengo la kuwakutanisha vijana na kujadiliana masuala ya UKIMWI na Mazingira

Kiwanjani nako mambo yalikuwa bum bum

Viongozi wa shirika la vijana Kulia bwa Yasini, anayefuta Katibu wa shirika anayefuta ni kijana mwisho ni Afsa vijana wa wilaya ya kibaha mjini

Mwenyekiti msaidizi akitoa nasaha kwa vijana juu ya kujikinga na UKIMWI huku wakitunza vema mazingira  na vyanzo vya maji
Afsa vijana wilaya akitoa zawadi za mipira kwa kepteni wa timu bw Anuari
Keptain akifurahia zawadi baaada ya kazi kubwa ya kulisakata kabumbu
ni Jenzi na Mpira....
Hawa ni baadhi ya washabiki kama tujuavyo tena mpira wa miguu unaongoza kwa kupendwa na watanzania wengi


No comments: