June 22, 2010
WAZAZI HII NIKWA AJILI YA WATOTO WENU
Aunty sadaka pichani
LIKIZO NA MAFANIKIO!
Kwa vijana wa umri wa miaka 13-19
Ni mpango wa vijana kuwa pamoja na wanasaikolojia, washauri, madaktari na wataalam kujadili masuala ya kila siku ya maisha na ufanisi wake tarehe 5-10 July 2010, kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi 10.30 jioni, Oysterbay Shule ya Msingi
MATARAJIO:
Mafunzo kuhusu umuhimu na thamani ya maisha, staha, mahusiano binafsi na jamii
Kujua staili na namna ya kujisomea ili kuelewa na kufikia malengo ya juu kwenye maisha ya shule
Maisha na matarajio katika ulimwengu wa kazi baada ya shule, ili kupata ufahamu wa kazi gani ya kufanya baada ya masomo kulingana na hulka, upenzi na utendaji
Vivutio mbalimbali vya michezo, filamu za mafunzo
Utatuaji wa matatizo na kutoa maamuzi
Nasaha binafsi na vikundi:
Kuingia kwa undani kupata ufumbuzi wa mashaka na matatizo binafsi yanayowakabili shuleni, nyumbani na kwenye jamii kwa ujumla.
Watakutana na:
Dr. Ally kaduma na Dr. Isaack Maro Modesta Mahiga (Professional Approach) Emelda Mwamanga Sadaka Gandi Waalimu mahiri wa masomo mbalimbali
Malipo ni 50,000 kwa wiki yote kwa ajili ya mafunzo na chakula cha mchana.
Kwa maelezo zaidi piga simu
0767 787882 or mshauri1@yahoo.com au fika
Ofisi zetu zilizopo Kinondoni S&F Building ghorofa ya pili au
Oysterbay primary School
Haya ni mafunzo maalum kwa ajili ya watoto wenu,Ameandaa A unty Sadaka ambae mnamsikia mara kibao kila jumanne katika mambo leo ya leo tena
Kwa hisan ya http://www.dinamarios.blogspot.com/
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment