May 13, 2010

Uzinduzi wa Daraja la UMOJA MTWARA Tarehe 12.05.2010

Raisi wa Awamu ya pili Mh All Hassan Mwinyi, Raisi wa awamu ya tatu Mh Benjamini Mkapa, Raisi wa Msumbiji Armando Guebuza na Raisi wa awamu ya nne Mh Dr Jakaya M. Kiwete wakiwa katika jukwaa wakati wa hafla ya uzinduzi wa daraja la UMOJA

Raisi wa Awamu ya Nne Mh Dr Jakaya M. Kikwete na Raisi wa Msumbiji Armando Guebuza wakisalimia wananchi huku wakipita katika daraja la UMMOJA MTAWASWARA Mkoa wa MTWARA 12.05.2010


No comments: