Wakati jumuiya ya UMOJA WA MATAIFA ikiazimisha siku ya familia duniani, Hapa Tanzania siku hii inaazimisishwa kwa sherehe za aina yake, Kuna wengine watashiriki chakula cha pamoja na familia zao na watoto wenye mahitaji maalum, Wengine wameandaa novena ya roho mtakatifu hasa kuombea familia zetu, wengine wameandaa hafla ya familia itakayo wakutanisha wanafamilia katika shughuli za kijamii, Je wewe mwenzagu uko katika kundi gani?
Heri na baraka tele za maadhimisho ya siku ya FAMILIA
No comments:
Post a Comment