May 11, 2013

WAKOBA BAADHI WAKUTANA DSM

Kumbukizi, siku ya kuwaaga familia ya Philbert Bayeka ambaye alisafiri kutoka magharibi ya Africa, ambako wanaishi kikazi na kuja kuungana na familia za WAKOBA baadhi waishio Dsm/Bukoba, hafla ilifanyika kwa familia ya Gilbert Kajuna Mbezi Beach.
Hongeren  mlipendeza sana.


No comments: