August 31, 2010

Mume wangu anataka kuruka ukuta? Je nifanyeje?

Salaam wanafamilia wenzangu, mimi naitwa Ziduna, naishi DSM Ilala, nimeolewa na tumejaliwa kuwa na watoto wawili kike na kiume, kwa siku za karibuni nimekuwa katika mahusiano yasiyoridhisha na Mume wangu ananilazimisha niruke ukuta!!! suala ambalo mie binafsi sijaridhika nalo, nimejaribu kumuelewesha ila sasa naona too much, maana ananitishia kuwa endapo sitamruhusu kuruka ukuta basi atatafuta mwingine ambaye atamruhusu... sasa wanafamilia nifanyeje? maana nampenda sana mume wangu na najaribu kumridhisha kwa kila kona tupatapo nafasi katika uwanja wa sita kwa sita...

3 comments:

Anonymous said...

Pole sana dada yangu, suala hilo ni gumu ila kwa kuwa wewe bado unampenda mume wako, endelea kumuelewesha na ataelewa, hivi jiulize tangu umeolewa mpaka sasa yapita miaka mingapi mpaka aibuke leo na kukutaka mruke ukuta pamoja? ama ana mwingine ambaye anaruka naye ukuta ndo maana? pengine anakutega tuu! lakini suala hilo kiimani zote haliruhusi kabisa na ni dhambi ambayo hata Shetan anaikimbia.... mwenzangu usikubali kabisa, "Chovyo chovya humaliza buyu la hasali"

Usikate tamaa....

Anonymous said...

Mpe tuu! kwani kitu gani bibi! Ukigoma bado mwenzio ataendelea kusaka nje watu wakuruka nao ukuta, hata hivyo kuruka ukuta mbona raha jamani, cha muhimu jifunzeni juu ya kuruka ukuta kwa utaratibu wake na njia gani za kufanya uinjoi mchezo huo bila shida, mkifanya ipasavyo mbona hiyo raha ya mbele chamtoto

Anonymous said...

Mpeee!!
Kama usipompa wewe jua wapo watakaompa au wapo wanaompa na kumpagawisha,
Kama hutompa nayeye anapenda jua hakuna kitakochomzuia kuitafuta huko nje, so chagua moja umpe tigo au aendelee kuisaka nje, jambo ambalo litaongeza risk ya VVU (japo kumpa sio Guarantee ya kutulia ndani, lakini at least)
Cha muhimu - akili yako iwe tayari kwa hilo, Wote muwe tayari kwa hilo na mjifunze taratibu za kufuata katika matumizi ya tigo ili kuifanya iwe tamu zaidi, mbona tigo raha sana!! mwenyewe ukiikubali na kuwa tayari na kutumia taratibu zake mbona utaooonaa utaaamu!!