May 11, 2013

KWA NINI BINTI AKIPATA MIMBA ANALAZIMISHA KUOLEWA?

Wanafamilia,

Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa binti akipata mimba anamlazimisha mwenzi wake wafunge ndoa!! huwa najiuliza wanategeshea baada ya kuona kuna dalili za kukataliwa/Kupigwa kibuti? ama inakuwa ndio "get pass" ya kuingia katika maisha ya ndoa?

Kwa mwenye jibu anaweza kutushirikisha bado sijapata majibu sawia

Wasalaam

Mwanafamila mwenzenu

No comments: