July 02, 2010

Wadau wa YOVODEA wakiwa katika bustani ya miti

Shirika la Youth Volunteer VolunteerDevelopment  Association limekuwa likitekeleza mradi wa mazingira na UKIMWI limeanzisha bustan za miti ya matunda ambayo inaweza kutumiwa na wagonjwa wa UKIMWI kwa ajili ya kuboresha afya zao.

Maandalizi ya vitaru vya miti ya matunda

Kijana Yomba Yomba akiwa katika ukaguzi wa kisima cha kuhifadhia maji ya kumwagilia miti
Vijana wanaosimamia umwagiliaji na upaliliaji wa miti wakiwa kazini
Jamani jamami upandaji na usimamiaji wa miti si kazi lelemama wadau wakiwa wanapata maelekezo kutoka kwa mratibu Bw Philimon Mabuga juu ya usimamiaji na umwagiliaji bora. 
Kisima kikiwa katika hatua za mwisho tayari kwa matumizai

Pichi hizi kwa hisani ya FAMILI photolab

No comments: