July 13, 2010

JE BONGO TUNAWEZA MILIKI HILI JUMBA?

Najua kwa ufisadi wa bongo tunaweza miliki gari aina hii ila barabara zetu zinakiwango bora?

Kama fisadi mmoja anaweza miliki nyumba ya Billion mbili je itaashindwa gari aina hii?
Sehemu ya ukumbi!!!!
 
Sehemu ya Dereva!!!!!

Kitanda cha kulala je korogo na ajali za mara kwa mara na kuchomekea kwa daladala unaweza kulala hapa?
MMMMHHH Mashallah

Sehemu ya maliwato


Pamoja na RAHA zote hizo usisahau wote kwa MUNGU WOTE NI SAWA!
Ushukuriwe uliyenipatia picha hizi.



No comments: