DK Silaa amechukua fomu ya kugombea kinyang'anyiro cha Uraisi katika uchaguzi mkuu 2010 kupitia CHADEMA.... Mpaka sasa vyama vilivyosimamisha wagombea wa uraisi ni TLP, CHADEMA, CUF, na CCM.
Mwenyekiti wa CHADEMA anasema "mwaka huu hawachezi ngoma ya kitoto...."
Dk Silaa anaomba kuungwa mkono na wananchi na hata wana CCM ili alete mabadiliko ya kweli
1 comment:
Mh Slaa nakutakia kila lakheri ingawa sizani kama CCM wanaweza kumuangusha Mwenyekiti wao.
Post a Comment