Haya siku ya jumapili tarehe 20 June, Dunia inasherekea siku ya WABABA, je mwenzangu umemuandalia nini BABA YAKO? Niamini kuwa itakuwa siku ya kuwakumbuka wakina baba wote duniani, hasa kwa michango yao, mawazo yao, na usimamiaji wa raslimali za nchi ama mataifa mbali mbali.
Katika kuanzimisha kumbu kumbu hii, naamini kutakuwa na burudani kubwa ya Muendelezo wa michezo ya kombe la Dunia, itakayoanza kutimua vumbi ijumaa tarehe 11. juni 2010, bondeni, wadau na wapenda mpira wote macho na masikio yote yataelekezwa huko, ila tusisahau wajibu na ahadi zetu katika nyanja mbali mbali, ambazo wakina BABA wameziweka na kuandelea kuhaidi katika mikutano mbalimbali. hasa WOMEN Delivery.
Mfurahishe baba yako kwa zawadi ya kukumbukuwa
3 comments:
Ni siku njema pia kuwakumbuka wazazi hasa akina "baba"
Iwepo siku ya wadada pia maana siku ya "watoto" "wazee","vijana" "walemavu" "mama" "je siku ya wasichana na wavulana ipo?"
fikiria
Haya tuwapambe akina baba zetu
Post a Comment