March 22, 2010

KARIBU

Kwa takribani miaka mingi kumekuwa na kiu ya kuanzisha glob, ama blog, ikiwa ni njia ya kupashana habari kwa njia rahisi ya mtandao ambayo huwafikia watu wengi kadri iwezekanavyo, baada ya kuchunguza kwa kina na kugundua kuwa, suala hili ni muhimu kwa mustakabari wa vijana na jamii kwa ujumla, nimeamua kuanzisha blog ambayo itasaidia kupasha habari kutoka katika kona mbali mbali za jamii. hasa ikiwapa kipaumbele maeneo ambayo hayafikiwa kwa habari na kurusha kwa ufanisi mkubwa. Habari hizi zitawahusu uchumi, siasa, jamii, tamaduni, na mila mbali mbali za kijamii.

Karibu tupashane habari kwa kina

No comments: